Kidokezo: Ni lazima uwe na angalau umri wa miaka 13 ili kuunda akaunti ya Facebook.
Ili kuunda akaunti ya Facebook
- Nenda kwenye facebook.com/r.php.
- Weka jina lako unalotumia katika maisha ya kila siku.
- Tarehe ya kuzaliwa kwako.
- Ingiza nambari yako ya simu ya mkononi. Ili kutumia anwani ya barua pepe badala yake, donoa Jisajili kwa kutumia anwani ya barua pepe.
- Donoa Kike, Kiume au Maalum ili uteue jinsia yako.
- Chagua nenosiri na udonoe Jisajili.
Ikiwa unapitia tatizo kuingia